Sikiliza & Download Music Audio: Edna Chejo-Rafiki Mwema - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Edna Chejo-Rafiki Mwema

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Edna Chejo-Rafiki Mwema

Kutoka Arusha Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Rafiki Mwema kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Edna Chejo.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Edna Chejo amesema kuwa wimbo huu ndio uliobeba jina la album yake mpya ya Rafiki Mwema ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo nane ikiwa kwenye mfumo wa Audio Cd.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya uitwao Rafiki Mwema kutoka kwa muimbaji Edna Chejo pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu hapa chini kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi zaidi mahala pote duniani kupitia nyimbo za Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Edna Chejo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 716 686 305 au +255 759 383 982
Facebook: Edna Chejo
Instagram: @ednachejo

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top