Sikiliza & Download Music Audio: Danny Bandezu-Nasonga - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Danny Bandezu-Nasonga

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Danny Bandezu-Nasonga

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Danny Bandezu na wimbo huu unaitwa Nasonga ukiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Sinyamazi ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Om Records chini ya mikono ya producer Omary Mkali wa chuchu sound anayepatikana jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Nasonga kutoka kwa muimbaji Danny Bandezu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Danny Bandezu kupitia
Simu/WhatsApp: +255 713 035 611
Facebook: Danny Bandezu
Instagram: @dannybandezu
YouTube: Danny Bandezu

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top