Sikiliza & Download Music Audio: Betty John Feat John Shabani-Achilia - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Betty John Feat John Shabani-Achilia

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Betty John Feat John Shabani-Achilia

Kutoka Dar es salaam Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Betty John ambaye siku ya leo anautambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Achilia akiwa amemshirikisha muimbaji John Shabani wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Faith Music Lab chini ya mikono ya producer Kabano pro kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Achilia kutoka kwa muimbaji Betty John akiwa amemshirikisha John Shabani na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na muimbaji Betty John wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 621 873 145
Facebook: Betty John
Instagram: @bettyjohn

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top