Sikiliza & Download Audio: Beda Andrew & Calvin John-Amenifanyia Amani(Cover by Paul Clement) - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Audio: Beda Andrew & Calvin John-Amenifanyia Amani(Cover by Paul Clement)

Audio

Sikiliza & Download Audio: Beda Andrew & Calvin John-Amenifanyia Amani(Cover by Paul Clement)

Kutoka Tanzania gospomedia leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayeitwa Beda Andrew akiwa ameshirikiana na muimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Calvin John.

Beda Andrew ni muimbaji ambaye amekuwa mshindi wa sita katika mashindano ya Gospel Star Search 2016(GSS) yaliyofanyika jijini Dar es salaam na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Amenifanyia Amani ukiwa ni marudio ya wimbo uliofanywa kwa mara ya kwanza na Muimbaji mahiri katika Tasnia ya muziki wa Injili akifahamika kwa kwa jina la Paul Clement wimbo huu umetengenezwa na producer John Marco na kufanyiwa mastering na producer Taz.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua(kudownload) wimbo huu kisha utawashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji Beda Andrew na hakika utaweza kubarikiwa sana kwa ujumbe mzuri na ladha bora ya uimbaji ulio katika wimbo huu wa Amenifanyia Amani. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Beda Andrew kupitia
Simu/WhatsApp: +255714140989
Facebook: Beda Andrew
Instagram: @bedaandrew
YouTube: Rogate Kalengo
Email: bedaandrew19@gmail.com⁠⁠⁠⁠

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top