Music Video: Jesse Xibona - Know Yourself - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Music Video: Jesse Xibona – Know Yourself

Video

Music Video: Jesse Xibona – Know Yourself

Kutoka jijini Dar es Salaam, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako video ya wimbo mpya unaoitwa Know Yourself kutoka kwa muimbaji  wa nyimbo za Injili (Gospel Rapper)Tanzania anayejulikana kwa jina la Jesse Xibona, video ya wimbo huu imeongozwa na director David Cheyo  kutoka studio ya D3  na Audio ikiwa imetengenezwa na Hebron Studios

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Know Yourself kutoka kwa muimbaji na mwanamuziki Jesse Xibona  kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na Injili hii ya Mungu iweze kusambaa kwa watu wote na mahala pote duniani na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu na kuitazama video hii. Karibu!!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Mathias Walichupa kupitia
Simu/WhatsApp:
Facebook: Jesse A’Star Xibona
Instagram: @Jesse_Xibona

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram >> @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top