Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Wa Kumi Na Mbili 2016. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Wa Kumi Na Mbili 2016.

Top Ten

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi Wa Kumi Na Mbili 2016.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa kumi na mbili mwaka 2016, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata tiketi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO (GOSPO AWARDS) 2016 zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia tarehe 30 mwezi wa nne mwaka 2017.

1. Prisca Sanga-Uweponi Mwako

DOWNLOAD

2. Elizabeth Ngaiza Feat Christopher Mwahangila-Usikate Tamaa

DOWNLOAD

3. Angel Benard & Mercy Masika-Huyu Yesu

DOWNLOAD

4. Boanerge-Utukufu

DOWNLOAD

5. Bishop Abrah-Shalom

DOWNLOAD

6. Nelson-Omba Mbele za Mungu

DOWNLOAD

7. Augustino Mhina-Pokea Sifa

DOWNLOAD

8. Bruno Kayenzi-Potelea Mbali

DOWNLOAD

9. B Zablon Senior-Bado Bado

DOWNLOAD

10. Elvis Kiwanga-Vumilia

DOWNLOAD

 

Uongozi na timu kazi ya GospoMedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa kumi na mbili 2016, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha nyimbo za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa kuendelea kuzisikiliza na kuzipakua… Barikiwa sana.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

Advertisements

More in Top Ten

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top