Download Music Video+Audio: Mathias Walichupa-Hekima Yako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Video+Audio: Mathias Walichupa-Hekima Yako

Video

Download Music Video+Audio: Mathias Walichupa-Hekima Yako

Kutoka jijini mbeya, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako video ya wimbo mpya unaoitwa Hekima Yako kutoka kwa muimbaji na mwanamuziki mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayejulikana kwa jina la Mathias Walichupa, video ya wimbo huu imeongozwa na director Yoel Mrisho kutoka studio ya Key Art Films na Audio ikiwa imetengenezwa na producer Kingson kutoka studio ya Mefo Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Hekima Yako kutoka kwa muimbaji na mwanamuziki Mathias Walichupa kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na Injili hii ya Mungu iweze kusambaa kwa watu wote na mahala pote duniani na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu na kuitazama video hii. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Mathias Walichupa kupitia
Simu/WhatsApp: +255 757 255 858
Facebook: Mathias Walichupa
Instagram: @mathiaswalichupa

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram >> @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top