Download Music Video + Audio: Mess Chengula Feat Emmanuel Mgogo - Usilie - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Video + Audio: Mess Chengula Feat Emmanuel Mgogo – Usilie

Video

Download Music Video + Audio: Mess Chengula Feat Emmanuel Mgogo – Usilie

Shalom leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya unaoitwa Usilie kutoka kwa muimbaji  wa nyimbo za Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Mess Chengula akiwa na muimbaji mwenzake   anayefahamika kwa jina la Emmanuel Mgogo video ya wimbo huu imeongozwa na Einxer .

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Usilie kutoka kwa muimbaji  Mess Chengula akiwa na Emmanuel Mgogo kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na Injili iweze kusambaa kwa watu wote na mahala pote duniani na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu na kuitazama video hii. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Mess Chengula kupitia
Simu/WhatsApp: +255715 880 584 au +255756 880 584 
Facebook: Mess chengula Tz
Instagram: @Mess_ Chengula 
YouTube: Mess Jacob Chengula

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top