Download Music Audio: Nsiandumi Feat Elandre-Mungu Mmoja - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Audio: Nsiandumi Feat Elandre-Mungu Mmoja

Audio

Download Music Audio: Nsiandumi Feat Elandre-Mungu Mmoja

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunamtambulisha kwako muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania akifahamika kwa jina la Nsiandumi na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Mungu Mmoja akiwa amemshirikisha rappa mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Elandre wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Fishers Records chini ya mikono ya producer Taz.

Akiongea na tovuti ya gospomedia.com muimbaji Nsiandumi amesema kuwa wimbo wa ‘Mungu Mmoja’ ni ukumbusho kwa ulimwengu kwamba kuna Mungu Mmoja wa kweli, jina lake ni Yesu, Yeye ni wa kweli na alikuja duniani kuleta wokovu, kuweka wafungwa huru na ndani yake tuna ukombozi na msamaha wa dhambi. miungu mingine yote itapita, lakini yeye bado ni Mungu.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Mungu Mmoja kutoka kwa muimbaji Nsiandumi akiwa amemshirikisha Elandre kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Nsiandumi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 783 454 463
Facebook: Nsiandumi Ndossi
Instagram: @nsiandumi
YouTube: Nsiandumi Ndossi
Email: nmmlullandumi@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top