Download Music Audio: Benson Mgaya-Mungu Sio Kigeugeu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Audio: Benson Mgaya-Mungu Sio Kigeugeu

Audio

Download Music Audio: Benson Mgaya-Mungu Sio Kigeugeu

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayeitwa Benson Mgaya (Mdogo wa Masanja Mkandamizaji) na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Mungu Sio Kigeugeu uliotengenezwa ndani ya studio ya Njiku Records kutoka mkoani arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Mungu Sio Kigeugeu kutoka kwa muimbaji Benson Mgaya (Mdogo wa Masanja Mkandamizaji) kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Benson Mgaya kupitia
Simu/WhatsApp: +255 764 032 124
Facebook: Benson Mgaya
Instagram: @bensonmgaya
YouTube: Benson Mgaya
Email: bensonmgaya8@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top