Download Music Audio: Angel Magoti-Kivulini Pa Mbawa Zako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Audio: Angel Magoti-Kivulini Pa Mbawa Zako

Audio

Download Music Audio: Angel Magoti-Kivulini Pa Mbawa Zako

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea zawadi zawadi ya wimbo wa mwaka mpya uitwao Kivulini Pa Mbawa Zako kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa zenye mahadhi ya kuabudu huyu si mwingine bali ni Angel Magoti wimbo huu ni wa kuabudu uliotengenezwa na producer Steve White.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Kivulini Pa Mbawa Zako kutoka kwa muimbaji Angel Magoti ikiwa ni zawadi maalumu kwa watu wote walioweza kuvuka mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 kwani anaamini si kwa nguvu za wanadamu bali ni kwa uwezo wa Mungu na Roho Mtakatifu pekee ambaye ana kusudi na sababu maalumu kwa watu wake ndio maana wapo hai mpaka leo hivyo tuzidi kumpendeza kwa kumsifu na kufanya yale yaliyo mema mbele ya macho yake.

Unaweza kumpa sapoti muimbaji huyu kwa kusambaza wimbo huu kwa watu wengi zaidi ili uwe baraka kwa kila mmoja atakayesikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Magoti kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 531 444
Facebook: Angel Danny Magoti
Instagram: @angel_magoti
YouTube: Angel Magoti
Twitter: Angel Magoti

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top