Download Official Music Video+Audio: Joel Lwaga-Unaweza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Official Music Video+Audio: Joel Lwaga-Unaweza

Video

Download Official Music Video+Audio: Joel Lwaga-Unaweza

Kutoka Dar es salaam, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Unaweza kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo Injili hasa za live wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Joel Lwaga video ya wimbo huu ikiwa imeongozwa director Ivan na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Push Up.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video ya wimbo huu mpya uitwao Unaweza kutoka kwa muimbaji Joel Lwaga pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengine wengi mahala pote duniani kupitia Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Joel Lwaga kupitia
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @Joellwaga_official
YouTube: JoelLwaga
Email: boazcharles@ymail.com, boazcharlestanzania@gmail.com, boazindo@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top