Download Official Music Audio: Shadrack Robert-Siya Bonga - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Official Music Audio: Shadrack Robert-Siya Bonga

Audio

Download Official Music Audio: Shadrack Robert-Siya Bonga

Kutoka Arusha Tanzania leo tovuti ya gospomedia.com imekuletea wimbo mpya unaoitwa Siya Bonga kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert wimbo huu umetengenezwa na producer Samtimber kutoka studio ya Fnouk.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua kutoka kwa mwimbaji Shadrack Robert kisha mpe sapoti  yako kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili injili isambae mahali pote na hakika utabarikiwa sana Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top