Download Music Video+Audio: Shadrack Robert-I Want To Know You - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Video+Audio: Shadrack Robert-I Want To Know You

Video

Download Music Video+Audio: Shadrack Robert-I Want To Know You

Kutoka Arusha Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert video ya wimbo huu inaitwa I Want to Know You(Nataka Kukujua Wewe) video ikiwa imeongozwa na director anayejulikana kwa jina la Dr.Samtimber kutoka studio ya Fnouk Studios na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Alex Lobulu kutoka studio ya Fnouk Studios.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii ya I Want to Know You(Nataka Kukujua Wewe) kutoka kwa mwimbaji Shadrack Robert pia unaweza kuusikiliza na kuupakua wimbo huu hapa chini kisha utampa sapoti muimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo na hakika utabarikiwa sana Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255767897260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackroberts2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top