Download Music Video+Audio: Angel Benard & Mercy Masika-Huyu Yesu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Video+Audio: Angel Benard & Mercy Masika-Huyu Yesu

Video

Download Music Video+Audio: Angel Benard & Mercy Masika-Huyu Yesu

Shalom leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya unaoitwa HUYU YESU kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Angel Bernad akiwa na muimbaji mahiri kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Mercy Masika video ya wimbo huu imeongozwa na Still Alive Video na Audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Still Alive iliyopo nchini Kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu wa HUYU YESU kutoka kwa muimbaji mahiri Angel Bernad akiwa na Mercy Masika kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na Injili iweze kusambaa kwa watu wote na mahala pote duniani na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu na kuitazama video hii. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Benard kupitia
Simu/WhatsApp: +255652887050 au +255759444488
Facebook: AngelBernad
Twitter: angelbenard
Instagram: @angelbenard
YouTube: AngelBernad

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top