Shalom Shalom! Karibu gospomedia.com, blog namba moja inayotoa huduma ya habari za kikristo na matangazo ya burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania.

FAIDA YA KUTANGAZA NA BLOG YA GOSPOMEDIA

  1. Kazi yako itaweza kuwafikia watu wengi zaidi kutoka ndani na nje ya Tanzania ambao wengi wao ni wafuatuliaji wazuri wa blog hii ya na kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

 

  1. Kupitia huduma yetu ya matangazo kazi yako itaweza kufika kwenye vyombo vingine vya habari kama vile radio, tv na blogs zingine zinazohusika na huduma ya habari na burudani za muziki wa Injili.

 

  1. Kukufungulia milango mbalimbali ya fursa zitakazokuwezesha kuingiza kipato, kukuza na kuboresha huduma yako kwa ujumla. Kama vile mialiko ya huduma n.k

Kama unahitaji kutangaza kazi yako ya muziki wa Injili kupitia blog ya gospomedia tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu ili uweze kutimiza maono yako.

Mchanganuo wa gharama kwa huduma ya matangazo ya muziki.

PROMO TSH.10,000/- MWEZI 1.

Kazi zinazofanywa ni:

Kuitangaza kazi yako kupitia blog ya gospomedia.com inayotembelewa na watu zaidi ya laki moja na nusu kwa mwezi na kuisambaza kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama vile ukurasa wetu wa facebook uitwao GOSPO MEDIA wenye watu zaidi ya 8900+, ukurasa wetu wa instagram uitwao @gospomedia wenye watu zaidi ya 11100+ matangazo haya yanafanyika kwa kipindi cha muda wa mwezi mmoja.

JINSI YA KUFANYA MALIPO

Kama una uhitaji wa huduma zetu za matangazo ya muziki kama ilivyoelekezwa hapo juu basi unaweza kufanya malipo ya huduma hiyo kupitia;

TIGO PESA

+255 658 29 36 96

Jina la Usajili: Ladslaus Empro

M-PESA

+255 755 038 159

Jina la Usajili: Milanzi Simoni

BAADA YA MALIPO

Baada kupokea malipo yako na kuiwasilisha kazi yako tutaihakiki na kuthibitisha taarifa zako na kuanza kuitangaza ndani ya saa 24 toka muda ilipopokelewa.

BAADA YA MUDA WA MATANGAZO KUISHA

Baada ya muda wa kutangaza kazi yako kuisha kazi yako itaendelea kuwepo kwenye blog ya gospomedia kwa ajili ya kuhifadhi taarifa zako na kazi zako kwa faida ya matumizi ya siku zijazo.

HUDUMA NYINGINE ZINAZOTOLEWA NA GOSPOMEDIA NI:

Photography

Graphics Design

Video Production

Kwa maelezo zaidi kuhusu gospomedia na huduma zetu wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255658293696 au +255 679 433 323 WhatsApp: +255755038159 Facebook Page: GOSPOMEDIA
Instagram: gospomedia Twitter: GospoMedia E-mail: [email protected]
Ofisi zetu zipo karikoo mtaa wa Tandamti Dar es salaam, Tanzania. Karibu sana.