Habari

Video: Ushauri wa Mwimbaji Silvanus Mumba kwa Waimbaji na Waandaji wa Matamasha huu hapa..

Waimbaji wengi wamejikuta kwenye wakati mgumu pindi wanapoandaa matamasha yao au kufanya zinduzi za album zao.

Kutoka na changamoto kadha wa kadha zinazojitokeza kwenye matamasha mwimbaji wa muziki wa Injili Silvanus Mumba ametoa ushauri kwa waimbaji kuhusiana na mambo kadhaa wanayotakiwa kuyafanya ili matukio yao yaende sawa.

Je Silvanus Mumba ametoa ushauri gani kwa waimbaji, Fahamu zaidi kwa kutazama video ya mahojiano hapo juu.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

Xclusive: Kwa Waimbaji Wanaolalamika kuwa Nyimbo zao Hazichezwi Redioni inabidi wafahamu haya.

Next post

Video: Jibu la Goodluck Gozbert Kwa Wanaohisi Anatumia 'Ndumba' Ili Avume Kimuziki