Videos

Video Music | Audio Music: PV Idemudia – Asante

Kutoka nchini nigeria leo nimekuletea mwimbaji anayeitwa Pv Idemudia ambaye tayari ameshaachia video ya wimbo wake toka mwezi wa kumi 2017, wimbo unaitwa Asante ukiwa i moja ya wimbo pekee ulioimbwa kwa lugha ya kiingereza na kiwashili, video ikiwa imeongozwa na director Travellah kutoka Kwetu Studio na muziki ukiwa umeandaliwa na studio za Strings Music zilizopo nchini Nigeria.

Huu ni wimbo wa sifa ambapo mwimbaji Pv Idemudia anatukumbusha katika kumshukuru Mungu kwa yote kwakuwa yeye ndiye pekee anayefanya makuu katika maisha Yetu.

Wimbo mzuri , video nzuri na hakika utaifurahia. karibu!.


Download Audio

Social Media
Facebook: Pv Idemudia
Instagram: @pvidemudia
Twittter: @pvidemudia
Youtube: PV IDEMUDIA

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio Music: Yvonne – Miracle

Next post

Music Audio: Lilian Kimola - Umeinuliwa Juu