Habari

Video: Mume Wa Christina Shusho Akielezea Milima na Mabonde ya Huduma ya Mkewe.

Watu wengi tunamjua mwimbaji Christina Shusho lakini hatuwajui watu wake wa karibu ambao kwa namna nyingine wanamfanya awe pale alipo.Leo kwa upekee kabisa tumekuwekea mahojiano maalumu na mume wa mwimbaji Christina Shusho anayefahamika kama Mchungaji John Shusho ambaye ameeleza jinsi mkewe aliyoanza huduma mpaka alipofika hapa.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Habari: Huduma ya Martha Baraka Yapokelewa Vizuri Mjini Morogoro.

Next post

Onstage:Joel Lwaga akiimba Sitaki Nilivyo Live kanisani T.A.G Ilala,Usiku Wa My Song Project