Kumi Bora

Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Sita 2017. Hizi Hapa.

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuweka tayari video kumi bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa sita, 2017. video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali vya ubora wa video hizi na idadi ya watu wote walioweza kuzitazama mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na channel zao za Youtube.

Angel Bernad – Siteketei

Download Audio

2. Mireille Basirwa – We Ndio Mungu

Download Audio

Jessica Honore – Umenizunguka

Download Audio

Prisca Sanga – Uweponi Mwako

Download Audio

Gifted – Ni Mungu

Download Audio

Ritha Komba – Kivulini

Download Audio

Apostle Dr. Daniel Irenge – Igwe

Download Audio

Tukuswiga IM – Sifa za Vilindi

Download Audio

Neema Ng’asha – Usilie Tena

Download Audio

Video hizi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa sita 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Sita 2017

Next post

Download Audio: Benachi - Yesu Wanikamilisha