Habari

Video: Joshua Mlelwa Amefunguka Kuhusu Kundi La Kijitonyama Upendo Group,Je Limekufa?

Ukizungumzia makundi ambayo yamewahi kubamba katika tasnia ya Muziki wa Injili Tanzania na nje ya mipaka bila shaka huwezi kuliacha kundi la Kijitonyama Upendo Group ambalo lilikuwa limesheeni waimbaji mahiri waliokuwa  na uhusiano wa karibu karibu.Nyimbo kama Bam Bam na mambo sawa sawa ziliweza kutikisa kwenye nyumba nyingi za wapendwa na wapenda gospo.

Ni muda sasa kundi hili halisikiki maskioni mwa watu wengi kama ilivyozoeleka na si watu wengi wanaojua lilipo kundi hili mahiri lililowavutia na kuwabariki watu wengi.Katika pita pita zetu kamera ya Gospo Tv iliweza kum ‘zoom’ mmoja wa waimbaji wanaounda kundi hilo Bw. Joshua Mlelwa ambaye mara kadhaa amekuwa akionekana akifanya huduma peke yake bila wanakikundi wenzake na kumuuliza kulikoni mbona yuko pekee yake,na hiki ndicho alichojibu. Bonyeza Video kuangalia

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

Habari: Mbasha Asema Hawezi Kuwa Model, Afunguka Kwanini Anapenda Kuvaa Vizuri.

Next post

Video: Hondwa Mathias Awataka Waimba Wa Gospo Wajipende Kwenye Mavazi