Videos

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Mr Seed & Bahati – Kumbe Kumbe

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji  wa nyimbo za Injili kutoka nchini kenya anayejulikana  kwa jina la Mr.seed akiwa na muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini kenya anayefahamika kwa jina la Bahati Kenya video ya wimbo huu inaitwa Kumbe Kumbe ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya EMB Records  kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Bisha kutoka kwa muimbaji Mr.seed akiwa na Bahati Kenya na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Mr.seed kupitia:
Facebook Page: Mr Seed
Instagram: @mrseedofficial
Youtube: Mr.seedOfficial Music

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa taasisi ya gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya kiroho na kimwili na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Chumba Changu: Jitihada za kuwa mkamilifu - Milca Kakete

Next post

Download & Download Music Audio: Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue