Videos

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Emily Nakhungu – Shwari

Kutoka mombasa kenya, kupitia tovuti ya gospomedia.com leo tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Shwari kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Emily Nakhungu.

Video ya wimbo huu imeongozwa director Bakari Ousman kutoka studio ya Crosslife Movement na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya BornBlack Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video ya wimbo huu uitwao Shwari kutoka kwa muimbaji Emily Nakhungu pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi wengi zaidi mahala pote duniani kupitia Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Emily Nakhungu kupitia
Simu/WhatsApp: +254
Facebook: Emily Nakhungu
Instagram: @emilynakhungu

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa watu na taasisi mbalimbali ambazo hutumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Kipindi Kutoka Kwa Milca kakete : Chumba Changu-Episode 01

Next post

Mfahamu Zaidi: Muimbaji Toka Nchini Kenya Aliyetoka Katika Hali ya Kupooza Mpaka Kumuimbia Mungu.