Video

Tazama Video | Download Music: Lydia Livingstone – Chineke

Shalom mwana wa Mungu leo kutoka jijini Arusha nimekuwekea video ya wimbo uitwao Chineke kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Lydia Livingstone. Video hii imeongozwa na director mahiri wa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Alex Lobulu kutoka studio za Aflob na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio hizo hizo za Aflob chini ya mikono ya prodyuza Alex Lobulu.

Chineke ni neno lenye asili ya moja ya lugha maarufu huko nchini nigeria likiwa na maana ya ”CHI – GOD,
NEKE – THE CREATOR”.

Hii ni moja kati ya video na wimbo mzuri sana wenye mahadhi ya kiafrika uliojaa sifa na shukrani kwa Mungu Baba yetu ambaye ndiye mkuu wa vitu vyote vilivyopo duniani na mbinguni hivyo ni wajibu wa kila mmoja kumtumikia yeye ili nafsi zetu zipate kuhuishwa na kupokea baraka zake. ”Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.” ZAB 150:6.

Kwa moyo wa unyenyekevu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Lydia Livingstone kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 773 895
Facebook: Lydia Livingstone
Instagram: @lydialivingstone

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Audio Music: Alphee Niyo - Songa Mbele

Next post

Video | Audio: Mc Freddie Feat Juliana - Siteketei