Video

Tazama Video | Download Music Audio: T More – What Can I Repay

Shalom mwana wa Mungu!! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video mpya iitwayo What can I Repay kutoka kwa rapa mahiri wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha anayefahamika kwa jina la T More. Video hii imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Daniel Mwagisa kutoka studio za Doxaz Films.

T more ni moja ya kati ya rapa wanaounganisha kundi la wanaharakati wa muziki wa Injili kwa mtindo wa HipHop linalojulikana kwa jina la Machalii wa Yesu ikiwa ni moja ya kundi linalofanya vyema sana jijini Arusha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha Kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao tunahakika utakuinua na utakubariki pia. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji T More kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 816 254
Facebook: Timo Justine
Instagram: @tmore_kimrapper

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Annoint Essau Amani - Sweeet wa Uongo

Next post

Tazama Video | Download Audio: Judith Kiula - Amenichagua