MusicVideos

Tazama Video | Download Music Audio: Rachael Owojori – Let’s Praise Him

Kutoka nchini Nigeria mtumishi wa Mungu aliyepakwa mafuta kupitia muziki wa injili akifahamika kwa jina Rachael Owojori ameachia video yake rasmi iitwayo Let’s Praise Him(Acha Tumsifu). Video hii imeongozwa na director Yinka David kutoka studio za iFocus Pictures na audio ikiwa imetaayarishwa na prodyuza Adewole Adesanya (Mr.Wols).

Huu ni wimbo unaotukumbusha shukrani kwa Mungu kwa neema na huruma yake katika maisha yetu. Kupitia sauti nzuri na lugha za Kiafrika zilizotumika katika wimbo huu imedhihirisha kipawa kikubwa cha uimbaji na ubunifu kutoka kwa mwimbaji huyu ambaye amekuwa baraka sana kwa watu wengi duniani waliobarikiwa kupitia wimbo huu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii yenye baraka na kupakua wimbo huu ambao imani yetu kuwa utabarikiwa. Karibu tumsifu Bwana!!

Download Audio

Social Media

instagram: @owojorirachel

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Makene Feat. Bahati Kihayile - Maji ya Uzima

Next post

Tazama Official Video | Download Music Audio: Emma - Nachotaka