Video

Tazama Video | Download Music Audio: Mireille Basirwa – Mungu Mkuu

Kutoka jijini Nairobi kenya leo tumekusogezea kwako video mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Mireille Basirwa video ya wimbo huu inaitwa Mungu Mkuu, video hii imeongozwa na studio ya Still Alive  na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio hizo zilizopo nchini Kenya.

Mungu Mkuu ni wimbo unaomtukuza Mungu kwa kiwango cha hali ya juu kupitia mtumishi wake mwimabji Mireille Basirwa ambaye kupitia wimbo huu anatukumbusha juu ya ukuu wa Mungu kupitia matendo yake makuu katika maisha yetu ambayo yamejaa uchafu wa kila aina na kutufanya kushindwa hata kutambua ni kwa jinsi gani anavyotupenda licha maovu na dhambi tunazoendelea kuzitenda lakini bado yeye anaendela kutenda makuu juu yetu na ndio maana leo kupitia wimbo huu tunasema ”Wewe ni Mungu Mkuu, umekaa mahali pa juu na kutenda mambo makuu, nakuabudu uliye juu….”

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kutazama video hii na kuapakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana na Mungu atakutendea mambo makuu kupitia wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Mireille Basirwa wasiliana naye kupitia
Facebook: Mireille Basirwa
Instagram: @mireillebasirwa
YouTube: MireilleBasirwaOfficial

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tamasha kubwa la Nuru ya Mtaa Kufanyika Tarehe 17.09.2017 Jijini Arusha.

Next post

Tazama Video | Download Audio: Suzan Pollycarp - Nawapenda