Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Mc Freddie – Kanisani

Kutoka mkoani morogoro leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji  wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop Tanzania anayefahamika kwa jina la Mc Freddie wimbo huu unaitwa Kanisani video ikiwa imeongozwa na director Mseven kutoka studio ya Alivetz studios na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya El nino Music chini ya mikono ya producer anayefahamika kwa jina la Yuck kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu Kanisani kutoka kwa muimbaji Mc Freddie kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu katika kuisaidia Injili kusambaa mahali pote kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mc Freddie kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 051 919
Facebook: Fredie Mc 
Instagram: mc_freddie_believer
Email: mcfredietz@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Gospel Music Audio: Edwin Mrope - Piga Kelele

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Kristin - Njia