Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Jessica Honore – Umenizunguka

Kutoka Dar es salaam, Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jessica Bm(Jessica Honore Bm)video ya wimbo huu inaitwa Umenizunguka ikiwa imeongozwa na director Fahim Rasham.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo kutazama video hii na kupakua wimbo huu wa Umenizunguka kutoka kwa muimbaji Jessica Honore Bm kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti muimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Jessica Bm kupitia
Simu/WhatsApp: +255712332007
Facebook: Jessica Honore bm
Instagram: @officialjessicah
Twitter: jessicabm
YouTube: Jessica Honore bm

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Familia: Jinsi Ya Kumsaidia Mtoto Anapobalehe

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Gifted - Ni Mungu