Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Gifted – Ni Mungu

Kutoka Dar es salaam, Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa za kuabudu anayefahamika kwa jina la Giftedvideo ya wimbo huu inaitwa Ni Mungu ikiwa imeongozwa na director Einxer na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za Ayubu Records chini ya mikono ya producer Ayubu na Chosen Records chini ya mikono ya producer Sam Mboya.

gospomedia.com tunakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu wa Ni Mungu kutoka kwa muimbaji Gifted kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti muimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Gifted kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 252 600
Facebook: Gifted Tz
Instagram: @gifted_tz
YouTube: Gifted Tz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Jessica Honore - Umenizunguka

Next post

Kutoka Nigeria: Download Wimbo Mpya kutoka Muimbaji Jahdiel - Everything is Well.