Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Boaz Charles – Ndoa Ibarikiwe

Kutoka Arusha Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Ndoa Ibarikiwe kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Boaz Charles.

Video ya wimbo huu imeongozwa director Kilima & Kundi kutoka studio ya Epic Visual na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Wonder Music chini ya mikono yake mwenyewe akiwa ni producer wa studio hiyo.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video ya wimbo huu mpya uitwao Nimo kutoka kwa muimbaji Boaz Charles pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi wengi zaidi mahala pote duniani kupitia Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Boaz Charles kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 684 619 707
Facebook: Boaz Charles tz
Instagram: @boazcharlestz
YouTube: boaz charles tz
Twitter: @boaz charles tz
Email: [email protected], [email protected], [email protected]

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa taasisi ya gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya kiroho na kimwili na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Sayuni Mrita - Sifa Kwa Mungu

Next post

Album Ya Audio Ya Saimon Rweikiza Iko Sokoni Sasa Unaweza Pata Nakala Yako