Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Apostle Dr. Daniel Irenge – Igwe

Kutoka Dar es salaam, Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mtumishi wa Mungu kupitia huduma yake ya kitume akifahamika kwa jina la Apostle Dr.Daniel Irengevideo ya wimbo huu inaitwa Igwe ikiwa imeongozwa na director Debro Gabriel kutoka studio ya Eagle View.

gospomedia.com inakukaribisha wewe mwana wa Mungu uweze kutazama video hii na kupakua wimbo huu wa Igwe kutoka kwa muimbaji Apostle Dr.Daniel Irenge pia usiache kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili ujumbe huu wa Injili uweze kuwafikia wengi na kubarikiwa na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Apostle Dr.Daniel Irenge kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 586 809
Facebook : Daniel Irenge Mp
Instagram : Daniel Irenge
Youtube: Apostle Dr Daniel Irenge
E-mail :   danielirenge77@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Betty J. Feat Tina Marego - Mtakatifu

Next post

Download Music Audio: Mussa Mpume Feat Ester - Hata Sasa Umenisaidia