Video

Tazama Video | Download Music Audio: Annoint Essau Amani – Kuna Nini Afrika.

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania anayefanya vyema katika anga la afrika mashariki na kati anayefahamika kwa jina la Annoint Essau Amani video ya wimbo huu inaitwa Kuna Nini Afrika ikiwa imeongozwa na director Mahela na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio za Pamoja Records iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utapata nafasi ya kujifunza mambo ya msingi kuhusu amani ya afrika na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Annoint Essau Amani kupitia:
Facebook Page: Annoint Essau Amani
Instagram: @annointamani
Youtube: A.E.A Entertainment

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Official Music Audio: Janet Otieno - Shuka

Next post

Download Gospel Music Audio: Yonah - Punda