Videos

Tazama Video | Download Music Audio: Angel Bernad – Siteketei

Kutoka jijini Arusha leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya unaoitwa Siteketei kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Angel Bernad video imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Travelor kutoka Kwetu Studios na wimbo ukiwa umetaayarishwa ndani ya studio ya Epic Records chini ya mikono ya producer mahiri anayefahamika kwa jina la Ema The Boy kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi, mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Angel Bernad kupitia
Simu/WhatsApp: +255 652 887 050 au +255 759 444 488
Facebook: AngelBernad
Twitter: angelbenard
Instagram: @angelbenard
YouTube: AngelBernad

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Tano, 2017.

Next post

Tazama Video | Download Audio: Tukuswiga IM - Sifa za Vilindi