Videos

Tazama Video | Download Audio: Wagala Shungu – Ni Baba

Shalom mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video ya wimbo mpya iitwayo Ni Baba kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Wagala Shungu.

Video hii imeongozwa na director mahiri wa video za muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Einxer na wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Success Classic.

Kwa moyo mkunjufu blog yako pendwa ya gospomedia.com inakukaribisha Kutazama, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao tunahakika utakuinua na utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Wagala Shungu kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 752 066 826
Facebook: Wagala Shungu
Instagram: @wagalamusic
Youtube: wagala gospel

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Sebastian Silas - Moyo Wangu

Next post

Download Audio: Rozey - iShine