Video

Tazama Video | Download Audio: Tukuswiga IM – Sifa za Vilindi

Kutoka mkoani Iringa, Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya uitwao Sifa za Vilindi kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini anayefahamika kwa jina la Tukuswiga IM video hii imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la Einxer na wimbo ukiwa umetaayarishwa ndani ya studio ya Amba Records chini ya mikono ya producer mahiri anayefahamika kwa jina la Amba kutoka mjini Iringa.

gospomedia.com inakukaribisha kwa moyo mkunjufu kabisa kuitazama video hii na kupakua wimbo huu ambao na hakika utaweza kukubariki na kuinuliwa zaidi mahali popote utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi, mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Tukuswiga IM kupitia
Simu/WhatsApp: +255 754 633 173
Facebook: Tukuswiga Ikasu
Instagram: @swigasemideus
YouTube: Tukuswiga IM

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Angel Bernad - Siteketei

Next post

Download Music Audio: Manuel Gwithus - Bwana