Video

Tazama Video | Download Audio: Subira Mwikwabi – Nisamehe

Shalom mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video ya wimbo mpya iitwayo Nisamehe kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka mkoani Dodoma Tanzania, anayefahamika kwa jina la Subira Mwikwabi,  video ikiwa imeongozwa na Director Debro Gabriel kutoka studio ya Eagle View Pro na wimbo ukiwa umetaayarishwa ndani ya studio ya Masauti chini ya usimamizi wa prodyuza Anold.

Kupitia wimbo huu muimbaji Subira anatukumbusha na kusema kuwa ”Mungu wetu ni mtakatifu hivyo tunapaswa kumwabudu katika hali ya utakatifu… ni vyema kutubu zambi zetu na kutubu kwa ajili ya wenzetu ili tunapopeleka hoja zetu na maombi yetu kwa Mungu yapokelewe maana maombi ya Mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu hivyo tunahitaji rehema yake kwanza…”

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii na kupakua wimbo huu mzuri wenye ujumbea wa kukukumbusha na kukuinua kiroho kila mara utakapokuwa unausikiliza na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Subira Mwikwabi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 022 673
Facebook: Subira Mwikwabi
Instagram: @subiramwikwabi
YouTube: Subira Nyakimori

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Geo Feat Josh - On My Nerves

Next post

Download Audio: Chris Shalom - Dry Bones Are Rising