Videos

Tazama Video | Download Audio: Size 8 Reborn – I Can`t Imagine

Kutoka Nairobi Kenya, muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Size 8 Reborn leo anakukaribisha kuitazama video yake mpya iitwayo I Can’t Imagine ikiwa imeongozwa na Trued Pictures chini ya mikono ya Director Sammy D, audio ikiwa imefanyika katika studio za Bwenieve Productions.

kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video hii uweze kuitazama na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa. Karibu!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Size 8 Reborn kupitia
Facebook: Size 8 Reborn
Instagram: @size8reborn
YouTube: Size8Reborn

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Josiah Justice - Asingekuja Yesu

Next post

Download Audio: Shonaman - High Five