Videos

Tazama Video | Download Audio Music: Ringtone Feat Gloria Muliro – Wacha Iwe

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao ”Wacha Iwe” kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ringtone na safari hii akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri nchini humo anayefahamika kwa jina la Gloria Muliro video hii imeongozwa na Trued Pictures Production na wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Teddy B.

Ringtone ni mwimbaji aliyefanya vyema sana mwaka 2016 kupitia video yake ya Tenda Wema aliyomshirikisha mwimbaji mkongwe Christina Shusho na sasa amekuja na video hii mpya yenye kuinua moyo na kuimarisha imani yako kwa mambo magumu unayopitia na hakika utabarikiwa sana.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utabarikiwa sana!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ringtone kupitia:
Facebook: Ringtone Apoko
Instagram: @ringtoneapoko
Youtube: Ringtone Apoko

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Fidelis Njocomeon - Kindumbwe Ndumbwe

Next post

Download Audio Music: Derick Ndonge - Yu Mwema