Videos

Tazama Video | Download Audio: Laura Abios – You Do Well

‘You Do Well'(‘Unafanya Vizuri’) ni video mpya inayofanya vizuri katika ulimwengu wa muziki wa Injili hasa nchini nigeria kutoka kwa mwanadada Laura Abios, wimbo huu umeonekana kuwasaidia watu wengi katika kutambua wema wa Mungu katika maisha yao na kuwabariki watu wengi sana.

Video hii imefanyika katika maeneo ya mji wa Abuja Nigeria, ikiwa imeongozwa na Director Justice Dh Films, ikiwa inaelezea wema wote wa Mungu na kutoa shukrani kwa Mungu kwa ajili ya Uokoaji, Ulinzi na Utoaji wake kwa wanadamu. Zaburi 34:19 “Mateso ya wenye haki ni mengi; lakini Bwana akamtoa kutoka kwao wote.

Kwa hiyo ikiwa unamshukuru Mungu kwa ukombozi wake wote na ulinzi basi kupitia wimbo huu ‘You Do Well (“Unafanya Vizuri”) utakusaidia zaidi katika kutoa shukrani yako kwa Mungu.

‘Maisha yangu yamejaa ushahidi. Siwezi kumshukuru Mungu kwa kila kitu ambacho amefanya na bado anachokifanya, nimeizingatia na wewe kufanya vizuri ‘Laura Abios’ alisema

Blog yako pendwa ya gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii ambayo itakubariki na kukuinua sana. Karibu!!

Download Audio

Wasiliana na Laura Abios kupitia:

Facebook: Luara Abios
Instagram: @lauraabios
Twitter: @lauraabios
Tovuti: wwww.lauraabios.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Minister Ladi - You Are Glorious

Next post

Download Audio: Betty Barongo Feat Walter Chilambo - Nijenge

SHARE

Tazama Video | Download Audio: Laura Abios – You Do Well