Music Videos

Tazama Video | Download Audio: Evelyn Wanjiru & Tembalami – Sawa (Alright).

Kutoka jijini Nairobi, Kenya, leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa kwa jina la Evelyn Wanjiru akiwa amemshirikisha muimbaji kutoka zimbabwe anayefahamika kwa jina la Tembalami video ya wimbo huu inaitwa Sawa ikiwa imeongozwa na Trued Pictures, audio ikiwa imetengenezwa na prodyuza Bwenieve/MacDee.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Evelyn Wanjiru kupitia:
Facebook Page: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelynwanjiru
Youtube: Evelyn Wanjiru Music

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia.com, lengo kuu la blog hii ni kukuletea habari mbalimbali za kikristo na matangazo ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Kitabu Cha Siri za Flora Mbasha Sasa Kipo Mtaani rasmi.

Next post

Download Audio: Josiah Justice - Asingekuja Yesu