Video

Tazama Video | Download Audio: Elvis Kiwanga – The Word(Neno)

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekusogezea video mpya iitwayo The Word(Neno) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Elvis Kiwanga, video hii imeongozwa na director Jackson Joachim kutoka Blessing Studios na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Edward kutoka studio ya E Records.

Akiongea na timu ya habari ya gospomedia.com mwimbaji Elvis amesema kuwa kwa sasa bado yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo anatarajia kuiacha muda wowote mwaka huu 2017 na anaamini itakuwa ni yenye baraka sana kwa watu wote watakaoweza kuipata album hiyo kutokana na ubora wa album yenyewe na jumbe mbalimbali zitakazokuwa zinapatikana kwenye nyimbo hizo.

gospomedia.com tunakukaribisha uweze kuitazama video hii na kama bado hujawahi kupakua wimbo huu tumekuwekea link itakayokuwezesha kupakua wimbo huu na kwa nafasi yako unaweza kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia kazi hii. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Elvis Kiwanga kupitia:
WhatsApp: +255 652 037 575
Facebook: Elvis Kiwanga
Instagram: eagleredemption(Elvis Kiwanga)
YouTube: Elvis Kiwanga
Email: kiwanga@outlook.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Francis Amos - Usikate Tamaa

Next post

Ikupa Mwambenja afanyika baraka mkoani Kigoma