Video

Tazama Video | Download Audio: Eddah Mwampagama – Ni Salama

Shalom! leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekusogezea video ya wimbo mpya iitwayo Ni Salama kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mbeya, Tanzania anayefahamika kwa jina la Eddah Mwampagama video ikiwa imeongozwa na director Einxer na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Mefo Records chini ya mikono ya prodyuza Kingson kutoka jijini mbeya.

Akizungumza na Gospo Tv Eddah Mwampagama amesema kuwa video hii ni kwa ajili ya kuwatia moyo watu waliokata tamaa katika mambo mbalimbali ya wanayopitia kimaisha na kuwakumbusha kuwa Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kutatua matatizo yao hivyo waamini mambo yote kwa Mungu ni Salama, Hofu na mashaka visitawale maisha yao kwakuwa ni mlango wa shetani kutawala.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kutazama video hii na kupakua wimbo huu wa Ni Salama kutoka kwa muimbaji Eddah Mwampagama, washirikishe na wengine kazi hii kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kusambaa kwa watu wengi zaidi na kubarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Eddah Mwampagama kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 570 055
Facebook: Eddah Mwampagama
Instagram: @eddahmwampagama

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Elizabeth Eliya - Yesu Wastahili Sifa

Next post

Tazama Video | Download Audio: Minister Ladi - You Are Glorious