Videos

Tazama Video | Download Audio: Christina Shusho – Roho

Kupitia blog yako pendwa ya gospomedia leo tumekuwekea video mpya iitwayo Roho kutoka kwa mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Christina Shusho.

Video hii imeongozwa na director Jackson Swebe na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio yake iitwayo CS Records chini ya mikono ya prodyuza James.

Roho ni moja kati ya nyimbo zenye nguvu ya kiroho alizowahi kuimba muimbaji Christina Shusho ikiwa inatukumbusha kuwa karibu na Roho Mtakatifu ili Mungu aweze kutenda makuu juu ya maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii na kupakua wimbo huu utakaokubariki muda wote utakapokuwa unausikiliza. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Christina Shusho wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp +255 655 718 888
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho
YouTube: Christina Shusho

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Milca Kakete - Siku Imeanza

Next post

Download Audio: Mercy Chinwo - On A Regular