Videos

Tazama Video | Download Audio: Boaz Charles Feat Lemi Masheria – Nampenda Mpenda

Shalom mwana wa Mungu leo kupitia blog yako pendwa tunamtambulisha kwako muimbaji Boaz Charles kutoka jijini arusha Tanzania na hii ni video yake mpya iitwayo Nampenda Mpenda akiwa amemshirikisha mwanadada Lemi Masheria, video ya wimbo huu imeongozwa na director Davy K T Z na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya Wonder Music chini ya mikono yake mwenyewe akiwa ni producer wa studio hiyo.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii pia kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili watu wengine waweze kubarikiwa na wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Boaz Charles kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 684 619 707
Facebook: Boaz Charles tz
Instagram: @boazcharlestz
YouTube: boaz charles tz
Twitter: @boaz charles tz
Email: [email protected]

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Varkeize Motema Feat Daisy & Larry Singlive - Hear Our Cry

Next post

Kinachomtofautisha Goodluck na wanaotaka kuwa kama yeye ni hiki hapa!