Music

Tazama Video | Download Audio: Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge

Wapendwa katika Bwana! leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekusogezea video ya wimbo mpya iitwayo Nijenge kutoka kwa moja ya waimbaji mahiri wanaofanya vyema katika tasnia ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Betty Barongo safari hii amemshirkisha muimbaji mahiri Walter Chilambo video ikiwa imeongozwa na director Crix na Yoel Mrisho na kutengenezwa ndani ya studio ya Key Arts Film wakishirikakana na Love Production na wimbo ukiwa umetengenzwa na producer Crisocrix.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo wa upendo kutazama video hii nzuri na kupakua wimbo huu wa Nijenge kutoka kwa muimbaji Betty Barongo akiwa na Walter Chilambo, washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kusambaa kwa watu wengi zaidi na kubarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Betty Barongo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 803 740
Facebook: Betty Barongo
Instagram: @bettybarongo
Youtube: Betty Barongo

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Ikupa Mwambenja afanyika baraka mkoani Kigoma

Next post

Kitabu Cha Siri za Flora Mbasha Sasa Kipo Mtaani rasmi.