Video

Tazama Video | Download Audio: Annoint Essau Amani – Sweeet wa Uongo

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa mwimbaji mpya na mahiri wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania anayefanya vyema sana katika anga la afrika mashariki na kati anayefahamika kwa jina la Annoint Essau Amani video ya wimbo huu inaitwa Sweet wa Uongo ikiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya iitwayo Fungua Mboni, video hii imeongozwa na director Mahela na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio za Pamoja Records iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utapata nafasi ya kujifunza kitu kizuri katika maisha yako. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Annoint Essau Amani kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 755 099 942
Facebook Page: Annoint Essau Amani
Instagram: @annointamani
Youtube: A.E.A Entertainment

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Glady Mwaihojo - Nataka Nikuone

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: T More - What Can I Repay