Videos

Tazama Video | Download Audio: Angel Bernad-Nikumbushe Wema Wako

Kutoka Arusha Tanzania tunautambulisha wimbo wa NIKUMBUSHE WEMA WAKO kutoka kwa mwimbaji anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Injili mwimbaji huyu anafahamika kwa jina la Angel Benard wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya DOXA Music na video ya wimbo huu pia imeongozwa na director anayejulikana kwa jina la EINXER kutoka studio ya Mr.Maxum Vision, gospomedia tunakukaribisha kuupakua(kuudownload) wimbo huu, kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wapate kubarikiwa kupitia ujumbe wenye baraka ulio katika wimbo huu wa NIKUMBUSHE WEMA WAKO kutoka kwa mwimbaji mahiri Angel Benard.

Itazame video ya Nikumbushe Wema Wako hapa

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko mbalimbali na kama unahitaji kufanya kazi na mwimbaji Angel Benard wasiliana naye kupitia
Namba za simu/WhatsApp: +255652887050 au +255759444488
Facebook: AngelBernad
Twitter: angelbenard
Instagram: @angelbenard
YouTube: AngelBernad

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >>>> >>GOSPOMEDIA.COM instagram>>>@gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

MWIMBAJI CHIPUKIZI USIKOSE KUSHIRIKI TALENT SHOW KUTOKA A'S STUDIO MBEZI BEACH. TAREHE 10.09.2016.

Next post

DOWNLOAD AUDIO: NELLY MUSIC-KU-DEAL NA MIMI