Video

Music Video: Ruth Matete – Eloi Eloi

Mwimbaji Ruth Matete kutoka jijini Nairobi, Kenya leo ametuletea zawadi ya video yake nzuri iitwayo Eloi Eloi, video hii imeongozwa na Director Eric Omba na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Sportlight Media.

Eloi ni neno lenye asili ya lugha ya kiebrania ikiwa na maana ya ”Mungu”.

Wimbo huu unatukumbusha na kutusisitiza kuwa watiifu na waaminifu mbele za Mungu ili tuweze kubarikiwa na kuinuliwa na nguvu ya Mungu, Tunaamini kuwa sisi ni wana wa Mungu na kwa upendo wake ameweka ahadi njema, nasi yatupasa kila siku kumwomba ili asituache awe nasi leo na hata milele kwa maana upendo wake hauna kipimo juu yetu, tumeumbwa kwa mfano wake.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii njema na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Social Media
Facebook: Ruth Matete
Instagram: ruthiematete

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio Music: Bahati Simwiche Feat Beatrice Kitauli - Nyota

Next post

Audio Music: Kachi Grey – I Worship You