Habari za Muziki

Onstage: Ritha Komba alivyoimba Uniongoze kwenye Uzinduzi wa Album Yake,Desemba 18

Desemba 18, Mwimbaji Ritha Komba alifanikiwa kuzindua album yake ya kwanza inayoitwa Mungu Wa Ajabu. Hapa tumekuwekea video akiwa anaimba wimbo wake unaoitwa Uniongoze kwenye uzinduzi huo , Barikiwa.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ritha Komba kupitia
Simu/WhatsApp: +255712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba Email: rithakomba@yahoo.com au synyoritha@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Video+Audio: Goodluck Gozbert - Ndiwe Mungu

Next post

Video:Mfahamu Zaidi Mwimbaji Prisca Sanga na Wimbo wake wa Uweponi Mwako